Mkutano: Kutengeneza Dunia Halisi ya Sauti za Dunia kwa Hadhira Halisi
Je, umekuwa ukisoma habari zao na umekuwa ukiwafuatilia kwenye mtandao wa twita kwa miaka kadhaa, lakini hujawahi kukutana na waandishi wa Global Voices na wafasiri wanaoandika kuwakilisha nchi zenu?...
View ArticleMwaliko wa Mapendekezo ya Tuzo za Blogu Nchini Kenya 2014
Waandaaji wa Tuzo za Blogu nchini Kenya 2014, ambao ni Umoja wa Wanablogu nchini humo (BAKE) kwa sasa wanakaribisha mapendekezo ya wawaniaji wa tuzo hizo mpaka Februari 10, 2014. Watumiaji wanaweza...
View ArticlePigia kura Blogu ya Kenya Uipendayo
Zoezi la upigaji kura limeanza kwa ajili ya Tuzo za Blogu nchini Kenya kwa mwaka 2014: Chama cha wanablogu wa Kenya (BAKE) hii leo [3 Machi 2013] kilizindua zoezi la kupendekeza majina ya wawaniaji wa...
View ArticleMwongozo wa Kilimo cha Uyoga Nchini Kenya
Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kilimo cha uyoga nchini Kenya: Kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha kilimo cha uyoga...
View ArticleTeknolojia ya Kiafrika: Mradi wa TechAfrique Watathmini Hatua Iliyofikiwa
Le continent africain apparaît comme la nouvelle frontière mondiale du développement numérique. Ce développement provoque une nouvelle impulsion entrepreneuriale en Afrique, et notamment en Afrique...
View ArticleShule 2,715 Kuunganishwa na Mtandao wa Intaneti Nairobi
Shule 2,715 jijini Nairobi, Kenya hivi karibuni zitaunganishwa na mtandao wa intaneti wa bure: Wanachi Group [kampuni] imefikia makubaliano ya kutekeleza mradi wa thamani ya Dola za Marekani milioni 3...
View ArticleNamna Huduma ya Kuhamisha Fedha kwa Njia ya Simu Ilivyobadili Maisha ya Wakenya
Mahali pa kufanyia malipo ya M-Pesa kwenye hoteli nchini Kenya. Oicha imetolewa chini ya leseni ya Creative Commons na mtumiaji wa Wikipedia Raidarmax. Mwezi Machi 2014 yatakuwa ni maadhimisho ya miaka...
View ArticleHadithi ya Mapenzi Kibera
Hii ni hadithi ya kusisimua ya mapenzi kati ya Sam, anayetoka Kibera, makazi ya masikini kwenye jiji la Nairobi, Kenya, na Alissa, anayetoka Minnesota, Marekani: Bila shaka, hii ni hadithi ya mapenzi...
View ArticleTovuti 50 Zilizotembelewa Zaidi Nchini Kenya
Je, unajua ni tovuti gani maarufu zinazotembelewa zaidi nchini Kenya? Soka posti ya James Wamathai kwenye blogu yake kufahamu zaidi: Mengi yamebadilika tangu mwezi Januari, wakati nilipotoa orodha ya...
View ArticleNamna Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza —na Hata Kuokoa—Lugha za Dunia
Kamusi mpya ya Kijapani na Kiingereza iitwayo Kenkyusha picha na Niko Kitsakis (CC-SA-3.0) Makala haya yameandikwa na mwandishi mwalikwa Allyson Eamer, mwanazuoni katika kitivo cha stadi za jamii na...
View Article